TAARIFA YA SIKU KUU YA EID KUTOKA JESHI LA POLISI
Wednesday, August 7, 2013
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI
JESHI LA POLISI TANZANIA
Anuani ya Simu “ MKUUPOLISI” Ofisi ya Inspekta Jenerali wa Polisi,
Simu : (022) 2110734 Makao Makuu ya Polisi,
Fax Na. (022) 2135556 S.L.P. 9141,
Unapojibu tafadhali taja: DAR ES SALAAM.
BENKI YA KCB YATOA MISAADA
HOTUBA YA MKUU WA MASOKO NA MAWASILIANO - BENKI YA KCB TANZANIA, NDUGU CHRISTINA MANYENYE KWENYE HAFLA YA KUKABIDHI MISAADA YENYE THAMANI YA SHILINGI 7,200,000 KWA HOSPITALI YA MWANANYAMALA - TAREHE 6 AUGUST, 2013
TAMASHA LA IDD MOSI DAR LIVE
|  | 
| Meneja wa Matukio wa Dar Live, Abdallah Mrisho (wa pili kulia) akiongea na wanahabari (hawapo pichani) kuhusu burudani mbalimbali zitakazokuwepo Dar Live sikukuu ya Idd Mosi | 
WASANII 
wa muziki watakaopanda katika jukwaa la kisasa la Dar Live sikukuu ya 
Idd Mosi pamoja na mabondia  wamelonga na wanahabari kwenye mkutano 
 ambao umefanyika katika hoteli ya Atriums iliyopo Sinza Afrikasana 
jijini Dar es Salaam.
CCM wafanya kongamano na wasomi wa vyuo vikuu
Baadhi ya Mafisa wa Mkoa wa Vyuo Vya Elimu ya Juu CCM wakiwa na mgeni rasmi wa Kongamano,Mheshimiwa Profesa Sospeter Muhongo.
Baraza la jiji lamuomba radhi Mandela
NHIF kuzipeleleza hospitali
Wednesday, May 22, 2013
Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) umeanzisha kitengo maalumu kwa ajili ya uchunguzi wa madai yanayotolewa kwao na wadau wao. Akizungumza katika mkutano na wadau wa Mbweni, Msimamizi wa NHIF wa Wilaya ya Kinondoni,Grace Mtemba alisema wameamua kufanya hivyo baada ya kupata malalamiko ya mara kwa mara kutoka kwa wadau hao . “Tumepokea malalamiko mengi na hatua tunayoichukua sasa ni kutuma wapelelezi wetu katika hospitali zilizo lalamikiwa kwa ajili ya uchunguzi,” alisema Mtemba.
Mkutano mkuu wa makandarasi kesho
| +aliesimama+Mhandisi+Boniface+Muhegi+akitoa+taarifa+kwa+waziri+wa+Ujenzi+Magufu.jpg) | 
| Msajili wa Bodi hiyo, Mhandisi Boniface Muhegi aliyesimama | 
Msajili wa Bodi hiyo, Mhandisi Boniface Muhegi  alitoa wito huo jana alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari juu ya  maandalizi ya mkutano huo aliosema utaangalia kwa undani mafanikio na  changamoto katika sekta ya ujenzi nchini kwa miaka 15 tangu kuanzishwa  kwa bodi hiyo. Alisema mkutano huo utakuwa na manufaa kwao ikiwamo  kusaidia kuwapandisha madaraja na kupata alama katika maendeleo ya fani  yao huku washiriki kutoka nchi za Kenya, Uganda na Rwanda wakialikwa  kubadilishana uzoefu na washiriki wa ndani.
Mkutano wa JK, wabunge CCM waamsha makundi ya urais
Mkutano wa ndani baina ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete na wabunge wa chama hicho uliofanyika Jumapili iliyopita mjini Dodoma, ni kama umeamsha upya makundi ya kuwania urais wa 2015, Mwananchi limebaini.
Kutokana na hali hiyo, jana chama hicho 
kililazimika kutumia nguvu kubwa kudhibiti taarifa zinazohusu kauli 
iliyodaiwa kuwa ilitolewa na Rais Kikwete, kwamba “Wanaoutaka urais 
kupitia CCM waanze kujipitisha ilimradi wasiwagawe wanachama kwa misingi
 ya makundi.”
Subscribe to:
Comments (Atom)





 
 
 
 
 
 
 
 I’m a Freelance Web Designer & Developer. I’m an enthusiastic, creative designer and geek with 3 years of strong commercial experience and a passion for creating beautiful, accessible websites using Web Standards
I’m a Freelance Web Designer & Developer. I’m an enthusiastic, creative designer and geek with 3 years of strong commercial experience and a passion for creating beautiful, accessible websites using Web Standards