Sharon Mariwa Meneja Muenezi
Biashara Brainstormusic, Caroline Kakwezi, Meneja Masoko wa Heineken
Tanzania na Uche Unigwe Mkurugenzi Mkuu na Cpwaa msanii maarufu
wakishikana mikono na Mkurugenzi wa Heineken Tanzania baada ya kusaini
mkataba wa kuteuliwa kuwa msimamizi na MC wa michuano ya mpira wa mezani
(Foosball) kulia ni Ronald Louis Meneja Opereshini wa Brainstormusic.
Msanii maarufu wa kimataifa wa muziki wa
kizazi kipya CPwaa ateuliwa na kampuni ya bia Heineken Tanzania
kusimamia michuano ya mpira wa mezani (Foosball) pamoja na kutangaza na
kuhamasisha mchezo huo wakati wa mashindano ambayo ni endelevu.Mpango
huo ulikamilishwa kati ya kampuni ya Brainstormmusic & Media Co. Ltd
na Heineken Tanzania Limited


I’m a Freelance Web Designer & Developer. I’m an enthusiastic, creative designer and geek with 3 years of strong commercial experience and a passion for creating beautiful, accessible websites using Web Standards
No comments:
Post a Comment
Tuachie Ujumbe wako hapa .