![]() |
| Prezoo |
Tangu kurudi kwake Nigeria, na kutengwa kuhudhuria mazishi ya anayedaiwa kuwa mpenzi wake, Goldoe Harvey nyota wa Big Brother toka nchini Kenya, John Makini anayejulikana zaidi kwa jina la Prezzo hajasema lolote kwa vyombo vya habari kuhusiana na majanga yaliyompata huko.
Prezzo, alikuwa Nigeria ambako alikwenda
kwa ajili ya Sikukuu ya Wapendanao na kukutana na kifo cha mshiriki
mwenzake wa Big Brother na mwanamuziki Mnaijeria, Goldie Harvey ambaye
inaaminika walikuwa na uhusiano wa kimapenzi.
Kilichokuja kuibuka na kumchanganya zaidi
Prezzo ni mtu anayejulikana kwa jina la Andrew Harvey ambaye aliachia
mtandaoni picha za harusi yake na mwanadada Goldie Harvey, ambaye pia
siku chache zilizopita alionekana Nigeria akihudhuria mazishi ya
mwanadada huyo.
Prezzo kwa upande wake, aliwaambia wanahabari kwamba anahitaji muda wa kupumzika kabla ya kusema lolote.


I’m a Freelance Web Designer & Developer. I’m an enthusiastic, creative designer and geek with 3 years of strong commercial experience and a passion for creating beautiful, accessible websites using Web Standards
No comments:
Post a Comment
Tuachie Ujumbe wako hapa .